Maandalizi ya kongamano la kwanza la Ugatuzi Uasin Gishu

  • | Citizen TV
    17 views

    Zimesalia siku chache tu Kaunti ya Uasin Gishu kuandaa kongamano la kwanza la Ugatuzi humu nchini. Shughuli kabambe na maandalizi yanaendelea Katika mji wa Eldoret tayari kwa siku hiyo mhimu. John Wanyama amezungumza na waziri wa Ugatuzi katika kaunti hiyo Elija Kosgei na hii hapa taarifa hiyo kwa kina .