Maandalizi ya kura ya kumchagua mbunge eneo la Kabuchai yamekamilika

  • | Citizen TV
    Maandalizi ya uchaguzi mdogo wa eneo bunge la kabuchai yamekamilika huku wapiga kura wakitakiwa kujitokeza Kwa wingi kushiriki zoezi la kumchagua Mbunge wao.