Maandalizi ya madaraka dei yafanyika Bungoma

  • | Citizen TV
    233 views

    Wizara ya jinsia vijana tamaduni na michezo katika serikali ya kaunti ya bungoma kwa ushirikiano na tume ya kitaifa ya sanaa imeanza zoezi la kutafuta vipaji kutoka kwa wananchi watakaotumbuiza wageni kwenye sherehe za madaraka zinazotarajiwa kuandaliwa juni mosi katika kaunti ya bungoma.