Maandalizi ya mazishi ya jenerali Ogolla yakamilika Alego Usonga, Siaya

  • | KBC Video
    329 views

    Maandalizi yote yamekamilika kwa mazishi ya marehemu mkuu wa majeshi jenerali Francis Ogolla, yatakayofanyika kesho nyumbani kwake katika kijiji cha Ng’iya, eneo bunge la Alego Usonga katika kaunti ya Siaya. Katibu katika wizara ya usalama wa taifa na utawala Raymond Omollo alisema kuwa hafla ya mazishi pamja na ibada itakayotangulia zitaandaliwa kuambatana na itifaki za kijeshi na pa matakwa ya marehemu jenerali Ogolla. Mwanahabari wetu Wycliffe Oketch anatuarifu zaidi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive