Maandalizi ya mbio za Chepsaita yameendelea kupamba moto

  • | Citizen TV
    271 views

    Huku zikiwa zimesalia siku chache kabla ya mbio za nyika za The great Chepsaita, maandalizi na shughuli za kufanikisha siku hiyo yanaendelea. Katika matayarisho haya, wakaazi waliofaidika wameelezea manufaa ya mbio hizi kwa jamii hii ya Chepsaita.