Maandalizi ya sherehe za madaraka yamekamilika Homa Bay

  • | Citizen TV
    2,747 views

    Maandalizi ya sherehe za madaraka dei katika uwanja wa raila odinga mjini Homabay yamekamilika . Tayari rais william ruto amefika mjini humo, ambapo ataongoza sherehe hizo za 62 tangu kenya ipate madaraka hapo kesho. tunaungana na mwanahabari wetu seth Olale mubashara kutoka homa bay atufahamishe mengi zaidi