Skip to main content
Skip to main content

Maandalizi ya tamasha ya utamaduni wa waluo yakamilika

  • | Citizen TV
    337 views
    Duration: 1:50
    Maandalizi ya Tamasha la Utamaduni la Wajaluo awamu ya 5 kuanzia tarehe 15 hadi 17 Desemba 2025 yamekamilika huku wahusika wakuu wakieleza matumaini ya tamasha hiyo kufana. Tamasha hiyo litajumuisha maonyesho ya kitamaduni, mijadala ya jumla kuhusu utamaduni na biashara, Usiku wa Gala na mbio za mashua kwenye maeneo ya ufuo katika kaunti ya Migori.....