Maandalizi ya uchaguzi mdogo wa Kabuchai yakamilika

  • | KBC Video
    Tume ya uchaguzi nchini ,IEBC imehamisha kituo cha kujumuisha katika eneo bunge la Kabuchai wakati wa uchaguzi mdogo wa hapo kesho.Kamishna wa tume hiyo Ali Surraw amesema hatua hiyo inafwatia marufuku ya wizara ya elimu kwa wageni shuleni kuzuia msambao wa korona.Hayo yamejiri wakati ambapo tume hiyo imeziandikia kampuni za maua katika eneo la Naivasha kuwapa ruhusa wafanyakazi wake kushiriki katika uchaguzi mdogo wa wadi ya Hellsgate. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive