Maandamano 7 yaliyowahi kutikisa Afrika

  • | BBC Swahili
    1,910 views
    Maandamano 7 yaliyowahi kutikisa Afrika Maandamano yamekuwa silaha muhimu barani Afrika, yakitumika na raia kuonyesha kutoridhika, kudai haki, na kushinikiza mabadiliko makubwa ya kisiasa na kijamii. Kuanzia mapambano dhidi ya ukoloni na ubaguzi wa rangi hadi kudai utawala bora na haki za kiuchumi, maandamano haya yameacha alama kubwa isiyofutika kwenye historia ya bara hili. @martha_saranga anaelezea Kufahamu maandamano mengine zaidi kwa urefu tembelea Youtube ya BBCSwahili #bbcswahili #afrika #maandamano Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw