Maandamano Eldoret: Mapambano makali kati ya polisi na waandamanaji yashuhudiwa

  • | NTV Video
    5,346 views

    Katika jiji la Eldoret kumekua na vuta nkuvute baina ya vijana na polisi ambao kwa siku nzima wamekuwa wakijaribu kuingia katikati mwa jiji kuendeleza maandamano yao.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya