Maandamano: Hali tulivu miji mikuu, maandamano ya kupinga utekaji nyara yakiwa madogo

  • | NTV Video
    3,349 views

    Hali ilikuwa tulivu na biashara ziliendelea katika miji mikuu nchini huku maandamano yaliyoratibiwa kupinga visa vya utekaji nyara yakiwa na waandamanaji wachache tu Jijini Nairobi, Mombasa na Kakamega.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya