Maandamano haya yaliendelea sehemu mbalimbali nchini

  • | Citizen TV
    4,218 views

    Maandamano haya yaliendelea sehemu mbalimbali nchini huku watu sita wakiwachwa na majeraha katika kaunti ya Narok. Baadhi ya kaunti kama vile Bungoma na hata Kericho zikinakili uharibifu huku vijana kaunti za Uasin Gishi na Kakamega wakikabiliwa vilivyo.