Skip to main content
Skip to main content

Maandamano Kenya kupinga kituo cha Ebola, katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    22,831 views
    Duration: 24:06
    Mamia ya wakazi wa mji wa Nanyuki, kaunti ya Laikipia nchini kenya, wamefanya maandamano ya kupinga kujengwa kwa kituo cha karantini cha wagonjwa wa Ebola au watu wanaoshukiwa kuugua Ebola kitakachosimamiwa na Marekani. Waandamanaji walifika kwenye lango kuu la kambi ya jeshi ya wanaanga ambapo kituo hicho kinaripotiwa kujengwa. Serikali za Marekani na Kenya zimethibitisha kukubaliana kuweka kituo hicho, japo mpango huo umepingwa vikali na makundi mbali mbali, huku Mahakama kuu ikisimamisha ujenzi huo kwa muda. #Kenya #Ebola #DRC #BBCNewsSwahili Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw