Maandamano kuhusu utata wa madini Wundanyi yaendelea kufanyika katika kaunti ya Taita Taveta

  • | Citizen TV
    187 views

    Licha ya maandamanao ya wachimba madini kutoka Kishushe eneo bunge la Wundanyi kaunti ya Taita Taveta kulalamikia maafisa wa usalama kuwazuia kuchimba madini katika eneo hilo Seneta wa kaunti Jones Mwaruma anasema shughuli hiyo haitaendelea hadi pale wananchi wote watanufaika na uchimbaji huo.