- 17,797 viewsDuration: 56sWaziri wa usalama wa ndani Kenya Kipchumba Murkomen amethibitisha kuwa watu wanne wameuawa katika mgomo wa usafiri ulioambatana na maandamano yaliyogeuka vurugu sehemu nyingi nchini hiyo. Kwa mujibu wa wizara yake watu 30 wamejeruhiwa, na watu 348 wamekamatwa kufikia sasa. Wakati huo huo, Waziri Murkomen amesema uvunjifu wa amani, uharibifu wa mali ya umma na uporaji hautasaidia bei ya mafuta kushuka. Kwasasa, kuna baadhi ya barabara jijini Nairobi zimefungwa kutokana na hali kuwa tete Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw