Skip to main content
Skip to main content

Maandamano makubwa kupinga wahamiaji haramu yafanyika Afrika Kusini

  • | BBC Swahili
    248,301 views
    Duration: 1:48
    Maafisa wa polisi wamesambazwa kote Afrika Kusini kutokana na hofu kwamba maandamano yanayopinga uhamiaji yanaweza kugeuka kuwa ya vurugu. Mwandishi wa BBC @munie_noor na taarifa hii: - - Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw