Maandamano Makubwa Nairobi Siku ya Bajeti

  • | K24 Video
    10,325 views

    Siku ya kusomwa kwa bajeti ilishuhudia maandamano makubwa jijini Nairobi, huku vijana wakipigania haki kwa ajili ya Albert Ojwang. Polisi walitumia nguvu kupita kiasi kuwatawanya waandamanaji, na kusababisha majeraha kwa baadhi yao. Uharibifu mkubwa uliripotiwa, ikiwemo magari mawili yaliyochomwa moto.