Maandamano: Mwanamume aliyetambuliwa na mashahidi kama mchuuzi wa barakoa apigwa risasi na polisi

  • | NTV Video
    5,867 views

    Mwanamume aliyetambuliwa na mashahidi kama mchuuzi wa maski ambaye alikuwa anawauzia waandamanaji barakoa hizo alipigwa risasi na polisi wakati wa maandamano ya kudai haki kwa mwanablogu na mwalimu Albert Ojwang

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya