Maandamano Nakuru: Wakazi Kivumbini wadai KWS kueleza aliko Brian Odhiambo

  • | NTV Video
    1,557 views

    Wakazi wa Kivumbini jijini Nakuru wamefanya maandamano wakitaka maafisa wa idara ya wanyamapori KWS kueleza aliko Brian Odhiambo, anayedaiwa kutekwa nyara na maafisa hao Jumamosi iliyopita.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya