Maandamano: Wafanyabiashara Nairobi downtown wapoteza mamilioni baada ya mashambulizi ya wahuni.

  • | NTV Video
    4,120 views

    Mamia ya wafanyabiashara katika eneo la Nairobi Downtown wanakadiria hasara ya mamilioni ya pesa baada ya wahuni kuvamia biashara zao na kutoroka na mali ya thamani ya juu.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya