Skip to main content
Skip to main content

Maandamano ya Gen-z yasababisha uchaguzi kuandaliwa Bangladesh. Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    17,302 views
    Duration: 28:10
    Taifa la Bangladesh linajiandaa kupiga kura wiki hii katika uchaguzi wake wa kwanza tangu vuguvugu la mapinduzi ya vijana lilipoiangusha serikali ya Awami League. Wanafunzi walijitokeza mwaka 2024, huku wakikabiliana na msako mkali uliosababisha vifo vya hadi watu 1,400, kulingana na Umoja wa Mataifa. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw