- 23,535 viewsDuration: 3:06Zaidi ya watu 11 wamekamatwa kaunti za nairobi, machakos na kirinyaga baada ya kuhusika katika maandamano ya kushinikiza serikali kupunguza bei ya mafuta. Polisi maeneo haya wakiingilia kati kutibua maandamano yaliyokuwa yamepangwa kufanykka. Uharibifu wa mali na biashara zilitatizwa kwenye maandamano haya yaliyohudhuriwa na idadi ndogo ya watu.