Maandamano ya upinzani kuendelea Jumatano wiki ijayo

  • | Citizen TV
    6,197 views

    Muungano wa Azimio umetangaza kuwa mandamano ya kushinikiza serikali kupunguza gharama ya maisha yataendelea jumatano wiki ijayo. Vinara wa Azimio waliofanya mkutano katika afisi za kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka wamesema kuwa hawako tayari kufanya mazungumzo na serikali hadi matakwa yao yatekelezwe.