Maandamano yalifanyika katika miji mbalimbali nchini

  • | Citizen TV
    4,809 views

    Mjini mombasa, vijana pia walijitokeza kuandamana, sawa na kaunti za machakos, makueni na kisii kutetea haki ya wenzao waliouawa kwenye maandamano ya mwaka jana.