- 31,536 viewsDuration: 51s"Tume imepata ushahidi usio na shaka wa matukio ya ghasia ya Oktoba 29 yalipangwa, yaliratibiwa na yalifadhiliwa na kutekelezwa na watu waliopata mafunzo" -Mwenyekiti wa Tume Jaji Mohamed Chande amesema #bbcswahili #oktoba29 #tanzania Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw