Maandamano yaliyopangwa kufanyiika yatibuka huku polisi wakitia mbaroni vijana kadhaa

  • | K24 Video
    412 views

    Maandamano yaliyopangwa kufanyiika hii leo yalitibuka huku polisi wakitia mbaroni vijana kadhaa walioshiriki katika maandamnao hayo katika maeneo tofauti. Katika kaunti za mombasa na kisumu polisi walizingira maeneo yaliyopangiwa maandamano hayo na kulazimu waliongoza maandamaano kutafuta njia mbadala.Wanaharakati na wakenya waliojitekeza walieza gadhabu yao kutokana na ongezeko la visa vya utekaji nyara