- 33,113 viewsDuration: 3:59Matokeo ya awali ya uchaguzi mkuu wa Tanzania yanaonyesha kuwa mgombea wa kiti cha urais kwa tikiti ya Chama Cha Mapinduzi Samia Suluhu anaongoza kwa wingi wa kura zilizohesabiwa. Katibu mkuu kiongozi wa Tanzania Dkt Moses Mpogole alitoa taarifa kwa watumishi wote wa umma kufanyia kazi zao nyumbani isipokuwa wale ambao kazi zao zinawalazimu kuwepo afisini baada ya baadhi ya wapigakura kuandamana katika miji ya taifa hilo.