30 Oct 2025 10:06 am | Citizen TV 18,664 views Duration: 1:00 Ripoti kutoka taifa jirani la Tanzania zinaarifu kuwa, maandamano yameendelea kushuhudiwa katika miji zaidi ya taifa hilo, siku moja baada ya uchaguzi mkuu kufanyika.