Skip to main content
Skip to main content

Maandamao ya ebola Kenya: 'Walimpiga risasi kiwa ana tembea'

  • | BBC Swahili
    4,287 views
    Duration: 1:33
    Familia moja mjini Nanyuki, Kenya, inaomboleza kifo cha mtoto wao baada ya maandamano dhidi ya mpango wa kujenga kituo cha karantini ya Ebola kusababisha vifo vya watu wawili Jumatatu. Kituo hicho kinachopendekezwa kuendeshwa na Marekani, kinapingwa na baadhi ya wakazi ambao wana hofu kwamba kinaweza kuhatarisha afya ya jamii. Hali halisi iliyosababisha vifo hivyo bado haijabainika, na maafisa wa serikali hawajatoa maoni yoyote kuhusu tukio hilo. #bbcswahili #afya #ebola Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw