Maaskofu wa kanisa Katoliki waikosoa serikali kwa kukosa kuimaliza mgomo wa madaktari

  • | Citizen TV
    907 views

    Viongozi Wa Kidini Sasa Wanamtaka Rais William Ruto Kuingilia Kati Na Kutoa Suluhu Ya Mgomo Wa Madaktari Ili Wahudumu Wa Afya Warejee Kazini. Mgomo Huo Ukiingia Siku Ya 24 Hii Leo, Viongozi Wa Madhehebu Mbalimbali Wanahofia Kimya Cha Rais Huku Kulemazwa Kwa Huduma Hospitalini Kukisababisha Maafa. Wakati Huo Huo, Baraza La Magavana Limeitaka Serikali Kutimiza Ahadi Na Kutoa Pesa Za Kufadhili Utekelezaji Wa Mkataba Wa Maelewano Wa Madaktari Wa Mwaka 2017.