Maaskofu wataka vitendo badala ya vitisho

  • | Citizen TV
    275 views

    Kanisa katoliki nchini limemtaka Rais William Ruto kuwachukulia hatua wabunge na maseneta wanaodaiwa kugeuza bunge kuwa kitovu cha ufisadi, la sivyo kauli zake za kupambana na ufisadi zitabaki kuwa maneno matupu