Mabadiliko Ya Tabianchi: Rais Ruto apigia upatu juhudi za pamoja

  • | KBC Video
    25 views

    Rais William Ruto anatoa wito kwa juhudi za pamoja za kimataifa ambazo zitapanua mtaji kwa ajili ya maendeleo na hatua za kukabiliana na mabadiliko ya hali ya anga. Rais aliyezungumza leo katika kikao cha ufunguzi wa kongamano la umoja wa mataifa kuhusu mabadiliko ya hali ya anga la mwaka huu huko Dubai alisema kuwa hakuna nchi inapaswa kuchagua kati ya maendeleo na mikakati ya kukabiliana na mabadiliko ya hali ya anga na kwamba masuala hayo mawili yanaweza kushughulikiwa kwa pamoja.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News