Mabaki ya roketi ya China kuanguka ardhini wakati wowote, je tuko salama?

  • | KBC Video
    Vifusi vya roketi moja ya Uchina vinatarajiwa kuanguka ardhini mwishoni mwa wiki na haijabainika vitaanguka wapi. Uchina imesema iko tayari kugharamia hasara itakayosababishwa na vifusi hivyo. Kwa mujibu wa mtaalamu wa masuala ya angani Dr Geoffrey Okengo. Wanasayansi humu nchini wanafuatilia kwa makini mwenendo wa vifusi hivyo. Dr Okengo alizungumza na ripota wetu Sarafina Robi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive