Mabaki ya tembo mtoto wa kale yagunduliwa baada ya miaka 50,000.

  • | BBC Swahili
    1,032 views
    Watafiti huko Siberia wanafanyia uchunguzi mabaki ya tembo mtoto wa kale yaliyogunduliwa baada ya zaidi ya miaka 50,000. Mabaki ya tembo huyo anayekadiriwa kuwa na umri wa mwaka mmoja, yalipatikana kwenye bonde la Batagaika, lililo na barafu, ambapo watu wanaishi karibu. Wataalamu tembo wa aina hiyo wenye manyoya walikuwa wakizunguka baadhi ya maeneo yenye baridi zaidi Duniani kabla ya kutoweka karibu miaka 4,000 iliyopita. #bbcswahili #sibereia #syria Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw