Mabikira wa mwisho walioapishwa

  • | BBC Swahili
    357 views
    Utamaduni wa zamani wa Balkan ambapo wanawake walilazimika kula kiapo cha ubikira na kuishi kama wanaume unapungua, na inakadiriwa wanawake 12 tu ndio wamesalia wakati huu ambapo wasichana wa Albania wanapigana dhidi ya kila kitu ambacho mila hiyo inasimamia. #bbcswahili #balkan #bbc100women