Skip to main content
Skip to main content

Mabilioni ya pesa za SHA kwenye hatari ya kufujwa

  • | Citizen TV
    2,692 views
    Duration: 3:04
    Mabilioni ya pesa yaliyowekezwa kwenye mfumo mpya wa usimamizi wa huduma za afya, sasa yako hatarini huku utata mpya ukizonga bima ya matibabu ya SHA. Wizara ya afya inasema kuwa imekataa kulipa madai ya shilingi bilioni10.6 zinazodaiwa na vituo vya afya