Mabingwa wa Itigo wamenyakuwa ubingwa wa kaunti ya Nandi

  • | Citizen TV
    320 views

    Huku michezo ya shule za upili ikitarajiwa kuingia katika ngazi ya kanda wiki ijayo, timu ya soka ya shule ya upili ya Itigo kutoka kaunti ya Nandi tayari imejitayarisha na kuahidi kuvuka hadi ngazi ya Afrika mashariki mwaka huu