Mabingwa watetezi Gor Mahia kukabana na Kibera Soccer FC

  • | Citizen TV
    612 views

    Mabingwa watetezi wa kombe la FKF Gor Mahia wataanza kampeni ya kutetea taji hilo dhidi ya Kibera Soccer FC katika droo ya michuano hiyo iliyofanyika leo mchana.