Mabinti wa marais wa Afrika wanafanya nini?

  • | BBC Swahili
    11,119 views
    Mabinti wa marais wa Afrika wanafanya nini zaidi ya kuwa watoto wa wakuu wa nchi? Wanazaliwa katika familia maarufu na mazingira ya kifahari na baadhi yao husifiwa kwa mafanikio yao nyuma ya jina la wazazi wao huku wengine wakikutana na utata na ukosoaji. #bbcswahili #Afrika #urais Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw