Mabomu ya cluster ni nini?

  • | BBC Swahili
    843 views
    Zaidi ya nchi 100, zimetia saini mkataba wa kimataifa ambao unaharamisha matumizi au uhifadhi wa silaha hizi kutokana na athari zake zinazoweza kutokea kiholela kwa raia. Je Mabomu ya Cluster ni mabomu ya aina gani? Elizabeth Kazibure anaelezea #bbcswahili #ukraine #urusi