Mabwawa ya Matumaini Laikipia

  • | Citizen TV
    714 views

    Mabwawa Ya Matumaini Laikipia Gharika Iliyoshuhudiwa Ilileta Manufaa Laikipia Hii Ni Kutokana Na Ujenzi Wa Mabwawa Ya Plastiki Mabwawa Hayo Yalitumiwa Kuhifadhi Maji Ya Mto Ndare Wakazi Waliweza Kuhifadhi Lita Laki Tano Za Maji