- 28,139 viewsDuration: 3:30Tunaanza taarifa zetu kutoka taifa jirani la tanzania ambako uchaguzi mkuu umefanyika leo huku watu kadhaa wakijeruhiwa katika makabiliano kati ya polisi na waandamanaji waliojitokeza kupinga uchaguzi huo. Waandamanaji wakisema uchaguzi umeegemea upande mmoja na kukandamiza sauti za viongozi wa upinzani. Haya yanajiri huku serikali ya tanzania ikitangaza amri ya kutotoka nje kuanzia saa kumi na mbili jioni katika jiji kuu la Dar-Es-Salaam, kama anavyotuarifu