Machakos: Naibu Gavana Mwangangi ataka vijana wa Gen Z walindwe katika maandamano ya Juni 25

  • | NTV Video
    1,536 views

    Naibu gavana wa kaunti ya Machakos Francis Mwangangi ameitaka serikali kuwalinda vijana wa Gen Z wakati wa maandamano yaliyopangiwa tarehe 25 Juni ya kuwakumbuka vijana waliouawa wakati wa maandamano ya mwaka jana.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya