Machester United, Arsenal watabiriwa kushinda - Mtazamo Wangu 18/09/2020

  • | BBC Swahili
    Wazee wa mikeka mpo? Makala ya juma hili ya Matazamo wangu na Yves Buccana Ubashiri wa mechi za EPL wikendi hii Mechi za ligi kuu ya England zinaendelea wikendi hii ambapo Everton itachuana na West Bromwich huku Machester United wakikipiga na Crystal Palace. • Mwandishi wa BBC Yves Bucyana anametuandalia ubashiri wa jinsi matokeo yatakavyokuwa. #mtazamowangu #bbcswahili #kandanda #epl Picha: Getty