Machifu waendesha kampeni kukomesha kusambaa kwa HIV

  • | Citizen TV
    153 views

    Baraza la kitaifa la kudhibiti magonjwa limesema litashirikiana na machifu, wasaidizi wao na wananchi ili kuzuia na kubuni mbinu za kukomesha kusambaa kwa ukimwi miongoni mwa watoto wachanga, mimba za mapema na ukatili wa kijinsia.