Machine ya kisasa ya kutibu viungo vya ndani ya mwili yazinduliwa katika hospitali ya Kiambu Level 5

  • | KBC Video
    10 views

    Machine ya kisasa ya kutibu viungo vya ndani ya mwili imezinduliwa katika hospitali ya Kiambu Level 5. Hospitali hiyo ni miongoni mwa hospitali za umma kuzindua matibabu maalum ya viungo vya mwilini. Matibabu hayo hayahitaji upasuaji wa kina na pia wagonjwa hupata afueni ya haraka.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News