Skip to main content
Skip to main content

Mad Ice: Siandiki muziki kwa ajili ya kupata pesa

  • | BBC Swahili
    409 views
    Duration: 5:42
    Ahmed Mohammed Kakoyi ni msanii lejendari kutoka Uganda anayejulikana sana kwa jina lake la usanii, Mad Ice. Kwa zaidi ya miaka 25 Mad Ice ametawala chati za Afrika Mashariki kwa nyimbo mbali mbali, ikiwa ni pamoja na wimbo wake mashuhuri zaidi, Baby Girl. Kwa sababu ya weledi wake wa Kiswahili, mashabiki wengi hudhania anatokea Tanzania, lakini Mad Ice ni raia wa Uganda. Mad Ice akiwa Nairobi amezungumza na Mtangazaji Kinara Roncliffe Odit kuhusu safari yake ya muziki... Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw