- 1,387 viewsDuration: 1:51Kwa zaidi ya miaka 25 msanii maarufu kutoka Uganda Mad Ice ametawala chati za muziki Afrika Mashariki kwa nyimbo mbali mbali, ukiwemo wimbo wake mashuhuri zaidi, Baby Girl. Kwa sababu ya weledi wake wa Kiswahili, mashabiki wengi hudhania anatokea Tanzania, lakini Mad Ice ni raia wa Uganda. Akiwa Nairobi amezungumza na Mtangazaji Kinara @roncliffeodit #bbcswahili #kenya #tanzania #uganda #madice #babygal Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw