Madai kuwa familia ya Kenyatta inakwepa kulipa ushuru yaendelea kuibua hisia mseto

  • | KBC Video
    38 views

    Matamshi ya aliyekuwa mama wa taifa, Mama Ngina Kenyatta ya kukanusha madai kuwa familia ya Kenyatta inakwepa kulipa ushuru yanaendelea kuibua hisia mseto kutoka kwa baadhi ya viongozi. Huku baadhi yao wakitoa wito wa hatua kali kuchukuliwa dhidi ya familia hiyo na watu wengine wanaokwepa kulipa ushuru, wengine wametoa wito kwa serikali ya Kenya Kwanza kukomesha hujuma ya kisiasa na badala yake kuangazia gharama ya juu ya maisha na masuala mengine yanayowaathiri wakenya.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #darubiniwikendi #taxevasion