Madai ya kukaidi mahakama | Ombi la kuairisha kesi dhidi ya mhariri mkuu wa KBC laskizwa

  • | KBC Video
    16 views

    Ombi la kutathmini na kusitisha kesi ya kuibeza mahakama dhidi ya kaimu mhariri mkuu wa shirika la utangazaji humu nchini, KBC, Millicent Awuor lilisikizwa leo mbele ya jaji wa mahakama kuu Esther Maina. Mawakili wa Bi Awuor walitaka mahakama kuagiza kusitishwa kwa kesi hiyo inayoendelea mbele ya hakimu Eunice Nyutu. Mahakama kuu ilitoa maagizo ya kusitishwa kwa kesi hiyo kwa muda na ikaagiza kwamba uamuzi kuhusiana na suala hilo utolewe tarehe 11 mwezi huu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #mahakamani #News #KBC